Channel hii inamwezesha mwanafunzi kumudu na kukuza lugha ya Kiswahili kila siku, aweze kuwasiliana kwa ufasaha na kuongeza msamiati.
Vitabu mbalimbali vya hadithi vinachambuliwa kwa namna sahili hivyo kueleweka moja kwa moja.
Mbinu mbalimbali za lugha zinatumiwa ili kukuza uelewa na fikra ili kudadisi, kufanya utumbuizi wa vipengele vya mfumo wa lugha ya Kiswahili.
Mwanafunzi atafaulu MTIHANI.